Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Hata hivyo lea watoto kwanzaMkuu naogopa kutolewa kucha bila ganzi ( natania tu )
Hata hivyo lea watoto kwanzaMkuu naogopa kutolewa kucha bila ganzi ( natania tu )
Kwema mkuuKwema?
Miss you sana kakaKwema mkuu
Hapana mkuu, huvi hawatoi ofa ya bure zikinza safari kama ilivyokua kwa mwendokasi?Wewe umekuwa mapanga shaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umeona mkuu, hakyanani shule za siku hizi mi zingenishinda wallah..Ukipata jibu nami nijuze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitamuambia yule mdada ndio zamu yakeAfternoon Joke
.......
Upo kwenye foleni ya kumuona daktari ,ghafla anatokea mwanamke ambaye umemfuatilia muda mrefu lakini anakupiga kibuti, ila siku hiyo anaanza kukuchangamkia mpaka unaona kama mambo yatajipa, naye anapanga foleni.
Ghafla mlango unafunguliwa anatoka Daktari na anakunyooshea kidole " Wewe mwenye kaswende ingia"
Hapo ndipo utakapojua kwanini muuza kahawa hana leseni wakati anatembea na chombo cha moto barabarani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Hahahaha duh! Ila kwakua sa ivi huo mkoa upo karibu na makao makuu labda hayo magorofa yataongezeka[emoji86] NIMECHEKA SANAA
eti ni kweli hili ghorofa(kubwa) kuliko yote Singida lina ghorofa tisa?View attachment 417461 https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18028600
Jengo jipya Kubwa Singida hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo mkoa upo kwenye bonde la ufa[emoji86] NIMECHEKA SANAA
eti ni kweli hili ghorofa(kubwa) kuliko yote Singida lina ghorofa tisa?View attachment 417461 https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18028600
Jengo jipya Kubwa Singida hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mimi pia, mihangaiko inanipoteza kidogoMiss you sana kaka
Ni poa sana, za kupotea kaka?Hamjambo humu?
Za siku nyingi vipi
Na mkoa wa Mbeya uko kwenye bonde gani?Huo mkoa upo kwenye bonde la ufa
Ndo sababu ya kutokua na magorofa? [emoji4]Huo mkoa upo kwenye bonde la ufa
[emoji2] Mbona Japani iko kwenye bonde la ufa ndo ma a inakabiliwa na na matetemeko ya ardhi mara kwa mara?Ndo sababu ya kutokua na magorofa? [emoji4]
Yote ipo ila teknolojia imechelewa ndio maana umeona jengo hilo kipindi hikiNa mkoa wa Mbeya uko kwenye bonde gani?
Tatizo ni utaalamu wa teknolojia kuchelewa maghorofa mengi yalikuwa ni below 3 floorNdo sababu ya kutokua na magorofa? [emoji4]
[emoji120] nmekupata mkuuYote ipo ila teknolojia imechelewa ndio maana umeona jengo hilo kipindi hiki
Usifananishe Japan na Mikoa yetu kaka ni madaraja tofauti sana[emoji2] Mbona Japani iko kwenye bonde la ufa ndo ma a inakabiliwa na na matetemeko ya ardhi mara kwa mara?
Mbona Mbeya pia iko kwenye binde la ufa?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Vp QuigleyUmeona eee
Pouwa shululuVp Quigley