Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mbona kama hutanii [emoji4][emoji4]... Hebu weka picha
IMG-20161012-WA0001.jpg
 
Afternoon Joke
.......
Upo kwenye foleni ya kumuona daktari ,ghafla anatokea mwanamke ambaye umemfuatilia muda mrefu lakini anakupiga kibuti, ila siku hiyo anaanza kukuchangamkia mpaka unaona kama mambo yatajipa, naye anapanga foleni.

Ghafla mlango unafunguliwa anatoka Daktari na anakunyooshea kidole " Wewe mwenye kaswende ingia"

Hapo ndipo utakapojua kwanini muuza kahawa hana leseni wakati anatembea na chombo cha moto barabarani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
 
hahaha...
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Back
Top Bottom