briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Kwani Bitoz alishakugea dadake?? [emoji4][emoji2] [emoji2] [emoji2] mwanzo mgumu
Kwani Bitoz alishakugea dadake?? [emoji4][emoji2] [emoji2] [emoji2] mwanzo mgumu
Jet fighter ni habari nyingine aisee, kuna nyingine zinakimbia mara tano ya speed ya sautiSio Jet fighter mkuu...
Bado hajanipa hata contact zakeKwani Bitoz alishakugea dadake?? [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji111]Aisee nadhani kama inavyoandikwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa kutoichagua CCM ( natania tu )
Acha woga mkuukwa kutoichagua CCM ( natania tu )
Kwema?Kwema humu ndani?
Wewe umekuwa mapanga shaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaonekana mna speed ya bombadier afu mussolin5 anaenda speed ya concorde
Umeona eeeMbona kama hutanii [emoji4][emoji4]... Hebu weka picha
Teacher mtam huyu jmn
OhoooSweet manka wangu [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ukipata jibu nami nijuzeNi shule gani na mi nikajiunge tuition??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bitoz shenzzxAfternoon Joke
.......
Upo kwenye foleni ya kumuona daktari ,ghafla anatokea mwanamke ambaye umemfuatilia muda mrefu lakini anakupiga kibuti, ila siku hiyo anaanza kukuchangamkia mpaka unaona kama mambo yatajipa, naye anapanga foleni.
Ghafla mlango unafunguliwa anatoka Daktari na anakunyooshea kidole " Wewe mwenye kaswende ingia"
Hapo ndipo utakapojua kwanini muuza kahawa hana leseni wakati anatembea na chombo cha moto barabarani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Unashangaa[emoji86] NIMECHEKA SANAA
eti ni kweli hili ghorofa(kubwa) kuliko yote Singida lina ghorofa tisa?View attachment 417461 https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18028600
Jengo jipya Kubwa Singida hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu naogopa kutolewa kucha bila ganzi ( natania tu )Acha woga mkuu
Na hapo watu wamejitahidi na kujitutumua[emoji86] NIMECHEKA SANAA
eti ni kweli hili ghorofa(kubwa) kuliko yote Singida lina ghorofa tisa?View attachment 417461 https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18028600
Jengo jipya Kubwa Singida hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hutanii waogopa kwel wwMkuu naogopa kutolewa kucha bila ganzi ( natania tu )