Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,659
- 25,868
Napenda sana kuona timu nyingi hapa zi-improve namna hii, ili ligi iwe na msisimko zaidi.Kweli mkuu stand wakiendelea hivi lig itakuwa nzur
Siyo kila siku iwe Simba, Azam na Yanga tu
Napenda sana kuona timu nyingi hapa zi-improve namna hii, ili ligi iwe na msisimko zaidi.Kweli mkuu stand wakiendelea hivi lig itakuwa nzur
Goodnight mutu ya babaGoodnight fellaz
Goodnight mutu ya baba
inaelekea unapenda kuangalia sana cartoon ya Tom & Jerry sana?Azam juu ya gogo...Aisee Azam vipi, hawana haja na ushindi nini?
LabdaSiyo 7bu
Kiwango kimeshuka ht kipigo cha Stand alifungwa kizembe
Pia Yanga inakawaida ya kubadilisha makipa baada ya muda Fulani
Dida alianza kukaa benchi pinfi alipofiwa na mzee wake
.........
Popote alipo.. Aniwie radhi.. Tembo mvaa suruali chini ya mkia..dah! Hili ni bonge la tusi..

Mduwanzi huyooHaha kala kona sasa..
inaelekea unapenda kuangalia sana cartoon ya Tom & Jerry sana?
Wajna huyu lazima nimfuatilieinaelekea unapenda kuangalia sana cartoon ya Tom & Jerry sana?
inaelekea unapenda kuangalia sana cartoon ya Tom & Jerry sana?
Eti tembo mvaa suruali chini ya mkiaPopote alipo.. Aniwie radhi.. Tembo mvaa suruali chini ya mkia..![]()
![]()

Nyangema huyooEti tembo mvaa suruali chini ya mkia
![]()
Night mutu ya CongoGoodnight fellaz
Huyo ndio makaveliEti tembo mvaa suruali chini ya mkia
![]()
Cartoon zao zinaishi daimaWajna huyu lazima nimfuatilie
Huyu ni mbitozi nyangemaNyangema huyoo
Kuna avatar moya kabla ya lodilofa na kibegi ilikuwepo ndio alikua anavaa chini ya mkiaHuyo ndio makaveli

Yani kila siku ni mpya haizeeki hizi vichekeshoCartoon zao zinaishi daima
Ni kama vichekesho vya Charlie Chaplin au mr. Bean comedy zao zinaishi daima