1979 - Wes Brown anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd, Sunderland na timu ya taifa ya England.
Ni beki aliyekuwa haongei sana uwanjani ila shughuli yake ni pevu. Kwasasa hana timu.
Ameshinda Ubingwa wa ulaya mara mbili akiwa na Man Utd.
1931 - Raymond Kopa anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Ufaransa.
Joto kiasi mkuuMorning, vp ukanda huo
Ngoja nikachungulieYule jamaa ndo mambo yake hayo, nafuatilia sana mada zake kule
Utabaki wew tuItakuwa jambo la maana sana maana itapunguza wakwepa kodi
Mungu mkuu2010 - Wachimbaji 33 wa Madini katika mgodi wa Copiapo huko nchini Chile waokoloewa baada ya kufukiwa chini kwa siku 69 kabla ya kuokolewa wakiwa wazima.
Kashakuwa mkaliUsikate tamaa
Ipo siku itakuwa mkali na tutakuachia mikoba
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
1960 - Peter Keisler anazaliwa.
Alikuwa ni mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani katika Utawala wa Rais George Bush.
Sio kasi ya dikteta, niya waliokuwa wanachanganya story zao[emoji23] nafikiri kwa kuwa huu ni mwanzo ndo mana inanipa shida sana..
[emoji2] Alafu kama ukichunguza vzuri kuna baadhi ya matukio nmeyaruka ili kwenda na kasi ya dikteta
BeautifulView attachment 417161View attachment 417162huyu demu Nelly alikuwa anakula
Yanazuiliwaje???Leo ni siku ya Kimataifa ya kuzuia majanga ya asili.
2010 - Wachimbaji 33 wa Madini katika mgodi wa Copiapo huko nchini Chile waokoloewa baada ya kufukiwa chini kwa siku 69 kabla ya kuokolewa wakiwa wazima.
Mpaka nowView attachment 417167ametamba sana enzi zake huyu
Senks MussoLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa D.B. Cooper tukutane kesho.
Siku njema.
HahahahahaUtabaki wew tu
Papa, je veis bien et....??HBD Niang
Je vais bien mon amiPapa, je veis bien et....??
Gudi gudi bablaiPamoja sana bablai.
MerciJe vais bien mon ami
Aisee nadhani kama inavyoandikwa.Jina la pili linatakwaje?