Makapuku Forum

Makapuku Forum

1924 - Roberto Eduardo Fiola anazaliwa.

Alikuwa ni Rais wa 44 wa Argentina.
1476336062325.jpg
1476336069149.jpg
 
1923 - Margaret Thatcher anazaliwa.

Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza kwanzia Mwaka 1979 - 1990

Alijulikana kama " Iron Lady " kwa uongozi wake uliotukuka na alipewa jina hilo na mwandishi wa habari toka nchini Urusi.

Ndio Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke katika historia ya Uingereza. Pia ndio alikuwa Waziri Mkuu aliyekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi Uingereza katika karne ya 20.

Katika utawala wake alikuwa na urafiki mkubwa sana na Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Ronald Reagan.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom