Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,081
Hivi umeona goal alilofunga jana?
Amefungia mbali sanaaa
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hivi umeona goal alilofunga jana?
asante sweetKaribu mamaa
Ahsante JJ.View attachment 415865View attachment 415866View attachment 415867
Kwa udhamini mnono kabisa wa Makapuku wote niite Jimena Jimenes
Muwe na siku njema wote
Morning My sis
Kwani Mimi ndo nimetobolewa macho na Scorpion hadi nisioneHivi umeona goal alilofunga jana?
Amefungia mbali sanaaa
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sawa Karibu sanaha hahah sawa nitakuwa nakuja kutoa like
Leo katika Historia:
1852 - Chuo Kikuu cha Sydney chaanzishwa.
Ndio chuo kikongwe nchini Australia.
asante sanaSawa Karibu sana
1910 - Rais wa zamani wa Marekani, Theodore Roosevelt anakuwa Rais wa kwanza w Marekani kupanda ndege ( Kusafiri kwa ndege ).
1986 - Marais Ronald Reagan wa Marekani na Michail Gobachev wakutana kujadili mustakabali wa kumaliza vita baridi.
Rais Ronald licha ya kuwa Mwanasiasa pia alikuwa ni muigizaji maarufu wa movie.
Ndiye Rais wa mwisho kunusurika kuuwawa baada ya kupigwa risasi iliyompata kwenye Mbavu lakini hakufa.
Rais halafu mcheza muvi! Nimeipenda hii.....Ila yule jamaa aliemdungua Kennedy alikuwa noma!1986 - Marais Ronald Reagan wa Marekani na Michail Gobachev wakutana kujadili mustakabali wa kumaliza vita baridi.
Rais Ronald licha ya kuwa Mwanasiasa pia alikuwa ni muigizaji maarufu wa movie.
Ndiye Rais wa mwisho kunusurika kuuwawa baada ya kupigwa risasi iliyompata kwenye Mbavu lakini hakufa.