Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
Ndio nini?[emoji15]
Ndio nini?[emoji15]
Daktari wa jeshi la cubaNdio nini?[emoji15]
Historia yetu imewazima na kuwasahau watu wengi sana katika Taifa hili eti tu labda walitofautiana na Waasisi wa Taifa hili kipindi hiko.Yaani!!!.....sijui tuna shida gani!!!
AmenFamily iko bien, Utukufu kwa Sir God[emoji120]
Kama walivyomsahau sokoine huwezi aminiHistoria yetu imewazima na kuwasahau watu wengi sana katika Taifa hili eti tu labda walitofautiana na Waasisi wa Taifa hili kipindi hiko.
Mchango wa Oscar Kambona umesahaulika kabisa. Bila Kambona, mwalimu asingeendelea kuwa Rais wakati Jeshi lilipoasi Mwaka 1964 na Mwalimu kuamua kujificha zake Kigamboni akishindia mapapai.
Ni aibu sana kwa Taifa kuwasahau watu wa aina ya Kambona, Jumbe na wengineo.
Inabidi uwe unaita majina hapa. Mtu aitikie Jana na leo.jonax nilimuona kwenye jukwaa la siasa
Kama kawaida ya wabongo1968 - Zvonomir Boban anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Croatia.
Alisifika sana kwa umakini wake kupiga pasi za mwisho zenye macho na utulivu wake mkubwa uwanjani.
Haruna Moshi akaiga jina lake.
Jamaa katili2001 - George Bush anapitisha mpango wa kuanzisha idara ya kushughulika na Usalama wa ndani wa Nchi hiyo.
Bush alikuwa ni Rais wa Marekani aliyehudumu kwanzia mwaka 2000 - 2008.
Kweli mkuu ila sijui jinsi ya kuita kwa kutumia simuInabidi uwe unaita majina hapa. Mtu aitikie Jana na leo.
Shululu mzm!Morning jirani
Nilijua labda na wewe unapataHapana Shululu situmii kitwanga
Basi nimeacha![emoji23][emoji23], sorry sikujua kama nilizoweka ulishaziwekaMalizia vipengele vyote vya picha mi nalala
Maana hatuwezi watu wawili kuweka picha kuhusu tukio moja
Hivyo endelea wewe maana picha zinajirudia
...........
Tena ni upumbavu uliotukuka!!Ni kweli kabisa, Che Guevara ni mzaliwa wa Argentina lakini kwa mchango wake mkubwa alioufanya nchini Cuba, amezikwa huko Cuba kwa heshima zote.
Hii ni kudhihirisha watu wanajali na kuthamini nini umewafanyia na hawajali umetokea taifa gani?
Huku kwetu Dunia ya tatu, Watanganyika na Wazanzibar wamemfuta kwenye historia yao, kiongozi wa Mapinduzi mataukufu ya Zanzibar, Field Marshall John Okello eti kisa ni Raia wa kigeni, Ujinga ulioje??
Wanatuaminisha Karume ndio baba wa mapinduzi yale ya Januari 12 mwaka 1964. Upumbavu ulioje??
Aisee...Mungu anawaona.Kama walivyomsahau sokoine huwezi amini
...........................[emoji40][emoji40][emoji40]Kwa hiyo starehe yako ni nini
[emoji23][emoji23]The Book yupo kwenye uzi wake wa kutuma salamu kwa watu watatu hahahahaha
Yugoslavia isinge vunjika, ingekuwa na uchumi imara sana1991 - Siku ya Uhuru wa Croatia.
Ilijitenga toka kwa Yugoslavia.
Jana Dida na leo Didi!1928 - Didi anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil.
Ameshinda Kombe la Dunia akiwa na Brazil mara mbili, Mwaka 1958 na mwaka 1962.
Katika mashindano ya kombe la dunia la mwaka 1958 yalifanyika pale Sweden, Didi alichaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Mashindano hayo. Brazil hiyo ilikiwa na kijana wa miaka 17 aliyeiteka Dunia, alikuwa ni Pele.