Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Monirng mkuu...Morning all kapuku
Monirng mkuu...Morning all kapuku
Family iko bien, Utukufu kwa Sir God[emoji120]Vepe family, wako bien!
Moningi Kapuku mwenzetuMorning all kapuku
Ni kweli kabisa, Che Guevara ni mzaliwa wa Argentina lakini kwa mchango wake mkubwa alioufanya nchini Cuba, amezikwa huko Cuba kwa heshima zote.View attachment 414362View attachment 414363 Best ake fidel Castro...Mwanaharakati huyu mwanamapinduzi akumbukwe Daima na waliomuua damu yake iwe juu yao.
Ameshafariki.View attachment 414364View attachment 414365 Wa kitambo..mhhh
Si mchezo.View attachment 414369View attachment 414370 Chezea black Swagaz, wame split ndoa yao lakini Mariah yuko kama chizi nowdays maana alimpenda sana Nick
Kwa hiyo starehe yako ni niniHapana Shululu situmii kitwanga
Merci beaucoup PapaaLeo katika Historia:
Sina la ziada, sabato day hivyo ni lazima tuitakase.
Muwe na weekend njema.
Yinaharibiwa makusudiVizuri huwa havidumu.
Asante Kapuku mwenzetu Mussolin5Leo katika Historia:
Sina la ziada, sabato day hivyo ni lazima tuitakase.
Muwe na weekend njema.
Pamoja mkuuAsante Kapuku mwenzetu Mussolin5
Che alikuwa na taaluma gani?Ni kweli kabisa, Che Guevara ni mzaliwa wa Argentina lakini kwa mchango wake mkubwa alioufanya nchini Cuba, amezikwa huko Cuba kwa heshima zote.
Hii ni kudhihirisha watu wanajali na kuthamini nini umewafanyia na hawajali umetokea taifa gani?
Huku kwetu Dunia ya tatu, Watanganyika na Wazanzibar wamemfuta kwenye historia yao, kiongozi wa Mapinduzi mataukufu ya Zanzibar, Field Marshall John Okello eti kisa ni Raia wa kigeni, Ujinga ulioje??
Wanatuaminisha Karume ndio baba wa mapinduzi yale ya Januari 12 mwaka 1964. Upumbavu ulioje??
Merci papaa nakati ya Lubumbashi.Merci beaucoup Papaa
Alikuwa ni Daktari kitaaluma.Che alikuwa na taaluma gani?
.......
Mkuu malizia kuweka picha.Yinaharibiwa makusudi
.......
JWChe alikuwa na taaluma gani?
.......
Hili suala la Didi kuwa mchezaji bora kombe la Dunia mwaka 1958 limenikumbusha, swali tata maarufu, Nani alikuwa bora kati ya Pele na Maradona?View attachment 414364View attachment 414365 Wa kitambo..mhhh
Yaani!!!.....sijui tuna shida gani!!!Ni kweli kabisa, Che Guevara ni mzaliwa wa Argentina lakini kwa mchango wake mkubwa alioufanya nchini Cuba, amezikwa huko Cuba kwa heshima zote.
Hii ni kudhihirisha watu wanajali na kuthamini nini umewafanyia na hawajali umetokea taifa gani?
Huku kwetu Dunia ya tatu, Watanganyika na Wazanzibar wamemfuta kwenye historia yao, kiongozi wa Mapinduzi mataukufu ya Zanzibar, Field Marshall John Okello eti kisa ni Raia wa kigeni, Ujinga ulioje??
Wanatuaminisha Karume ndio baba wa mapinduzi yale ya Januari 12 mwaka 1964. Upumbavu ulioje??
Doctor of medicineChe alikuwa na taaluma gani?
.......