makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,444
28 kamili amefikishaMiaka mingapi vile...
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3]28 kamili amefikisha
Lakini ni vyema wajue kuwa kila jini na mbuyu wake..sasa ametambua kuwa nimeudhika nilipomlalamikia, ndio maana kaomba radhi hata iwe kwa unafikiPotezea wala sijali
Ulitegemea amraje "mtu asiye na jina"?
Ni changamoto za kuwa maarufu hapa Jf utatajwatajwa kwa mazuri na mabaya
.........
Niko ambae niko salama mkuu[emoji86] captain wa chelsea upooo?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ili tujue thamani yetu ni ndogoHizi picha zinatisha sana aisee
Ulitakiwa umkemeeIla huyo Jamaa mjinga sana
Karibuuu tenaaZa jioni waungwana,,,
Nimerudi now
Bitoz uchwara upooo
MPHodi hodi humuu......wazma woteeee???
KaribuZa jioni waungwana,,,
Nimerudi now
Alikuwa ameishajibiwa na bitoz pamoja na wewe, sikuona haja ya kumkemea zaidiUlitakiwa umkemee
28 mkuu amefikisha leo huyu mwili nyumba[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Woyoo ni adje kamanda wangu? WelikamuHodi hodi humuu......wazma woteeee???
"Kumkemea" si ndo kumpaisha/kickAlikuwa ameishajibiwa na bitoz pamoja na wewe, sikuona haja ya kumkemea zaidi
Potezea bhanaLakini ni vyema wajue kuwa kila jini na mbuyu wake..sasa ametambua kuwa nimeudhika nilipomlalamikia, ndio maana kaomba radhi hata iwe kwa unafiki