Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Bitoz uchwara upooo
Niambie afande Sajo nilikuja hadi Lugalo kukutafuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
Bitoz uchwara upooo
Anaoneka ana adhabu ya Kuogelea kwenye mchanga![]()
Niambie afande Sajo nilikuja hadi Lugalo kukutafuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
Pole na majukumuZa jioni waungwana,,,
Nimerudi now
Kijana umepotea sanaKaribuuu tenaa
Mashambulizi mengi yangempelekea kupoteza uelekeoAlikuwa ameishajibiwa na bitoz pamoja na wewe, sikuona haja ya kumkemea zaidi
Mkuu upo!Ewaaa!!
Mkuu hiyo avatar inatisha kama adhabu ya walimu kwa mwanafunziKaribuuu tenaa
Nambie Mr.shululu
Asante sana mutu ya congo.....Naona mnasongaaWoyoo ni adje kamanda wangu? Welikamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa likizo kidogooo usingeweza nionaa![]()
Niambie afande Sajo nilikuja hadi Lugalo kukutafuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
AwapiAnaoneka ana adhabu ya Kuogelea kwenye mchanga
Majukumu yalinibana hapa karibunii....ila nimerud upyaaaKijana umepotea sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya walimu imezidiMkuu hiyo avatar inatisha kama adhabu ya walimu kwa mwanafunzi
Sio wanachuo kwa mwanafunziMkuu hiyo avatar inatisha kama adhabu ya walimu kwa mwanafunzi
Adhabu yako imeisha?Asante sana mutu ya congo.....Naona mnasongaa
[emoji125] [emoji125]28 kamili amefikisha
Afwande..Hodi hodi humuu......wazma woteeee???
[emoji23] [emoji23] [emoji23]28 kamili amefikisha
Nambie tupac upoooAfwande..
Nipo kama sipo vile kakaMkuu upo!