sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Nipo, za huko kwenye dushua dushua(mlio wa risasi za kihindi)Nambie tupac upooo
![]()
Niambie afande Sajo nilikuja hadi Lugalo kukutafuta
![]()
![]()
![]()
...............
Poyeeee...in werrason voiceMajukumu yalinibana hapa karibunii....ila nimerud upyaaa
Hebu badili naogopa hata kusoma posts zako![]()
![]()
![]()
ya walimu imezidi
Alikula ban?Adhabu yako imeisha?
Pambana pia pesa twataka ujueNipo kama sipo vile kaka
Jamaa anajua kutetea aisee![]()
![]()
![]()
Mbavu zangu!!
Ila![]()
![]()
sikuwa na adhabuu....
Huku ni bomba tuu......tunazidi kupambanaaNipo, za huko kwenye dushua dushua(mlio wa risasi za kihindi)
Nakuona Mr kikofiaaa![]()
![]()
![]()
Afande lusajo bhanaaa
Quigley unamtishaHuku ni bomba tuu......tunazidi kupambanaa
Asantee.....in mugabe voicePoyeeee...in werrason voice
Sawa ngoja niweke mupyaaHebu badili naogopa hata kusoma posts zako
Mapambanoo
Ngoja nibadirisheeQuigley unamtisha
Pumzika