Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
hapa hapa Afrika,sijui nchi ganiWapi hii??? [emoji15]
hapa hapa Afrika,sijui nchi ganiWapi hii??? [emoji15]
Poa, vip kaka..Makavel 10 mambo vp!
UBINAFSI!!!
Messi au ronaldo bhana!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Merci Papaa[emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana, jamaa amekushukuru naona umehis kakwambia vibaya ukaamua kumrudishia
Sasa kwa mazingira yale unakoseaje!!kumbe nilipatia
lazima ningepatiaSasa kwa mazingira yale unakoseaje!!
Hapana wamemgundua aina ya nyoka aliyemlaghai adam..[emoji23] [emoji23] [emoji23]COPIED
Android phones can be so annoying. How do I explain it? I just received a notification that my Bible App needs update. Please what does the Bible need update for? Has Adam eaten another apple[emoji57][emoji23][emoji23][emoji23]
Chile bhana, hili chama hata silielewView attachment 413987
Antonio Valencia
1 goal,
2 assists
Ecuador[emoji639] ;[emoji778] Chile
.............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 414073 mbwa wangu wawaipendi ccm!!! Mwone Kigli aliponitembelea[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Matayo
Vere vere displinidi pleyaUngesema anaficha/anazuia hisia za kukasirika pindi akiwekwa benchi...hakuna asiyekasirika akipelekwa benchi
Jamaa pia siyo domokaya haongeiongei(tunaita kuinamisha kichwa chini)
Mwingine ni Martial
................
..............
Fresh tu, vip weweHabari za leo Makapuku
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hapana wamemgundua aina ya nyoka aliyemlaghai adam..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hhmmm... Spd hyo si masihara.. Atapona mtu kweli!!Af now speed imefika km.220/h
Akili ni nywele.. Anakusanya mpunga kilaini..
Who's she???[emoji23]View attachment 414106bitoz msamehe
Dispersion of colour, physics ya form 2 au 3.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji736]Muhindi mmoja alisilimishwa na sheikh akamwambia kila unapokula usisahau kusema Bismillah la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kusema Bismillah kwa miezi 2 ,basi shetani akamfuata sheikh akamwambia mkumbushe muhindi kusema Bismillah maana ataniuwa kwa pili pili! [emoji23] [emoji23] [emoji23]