Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Because tuna akili fupi
Jiulize kwanini wazungu walikuja kwetu kututawala badala ya sisi kwenda kwao kuwatawala......waligundua mapema kwamba hatuna akili
...............
Because tuna akili fupi
Angalia tenaWho's she???[emoji23]
Kama nauona vile msos wa wahindi...Muhindi mmoja alisilimishwa na sheikh akamwambia kila unapokula usisahau kusema Bismillah la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kusema Bismillah kwa miezi 2 ,basi shetani akamfuata sheikh akamwambia mkumbushe muhindi kusema Bismillah maana ataniuwa kwa pili pili! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
FlintskyWho's she???[emoji23]
Miaka mingapi vile...View attachment 414075happy birthday diego costa mnyama
[emoji86] [emoji86] [emoji86]
N still tunakula na kutupa vya kula.. Mungu wahurumie viumbe wako
Mh. Kitabu usiweke hizo pic ndugu yangu.. Macho yangu hayawez kukodoka kwenye pic hiz, n najiskia vibaya mnoo
Yaweza ikawa Sudanhapa hapa Afrika,sijui nchi gani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Potezea wala sijaliView attachment 414106bitoz msamehe
49Miaka mingapi vile...
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hizi picha zinatisha sana aisee
Eritreahapa hapa Afrika,sijui nchi gani
Ila huyo Jamaa mjinga sanaView attachment 414106bitoz msamehe
Hizi picha zinatisha sana aisee
Wengi tu watapona kwa usawa huu nani anayetaka kufa kizembe kwa upepo kama uhamishwavyo mchanga jangwani. Wale wenye mioyo migumu kama ya wale jamaa wa Nuhu hao ndio watakuwa tatizoniHhmmm... Spd hyo si masihara.. Atapona mtu kweli!!
Uliamua kumrudishia km ni sumu mfe wotelazima ningepatia
[emoji86] captain wa chelsea upooo?