Makapuku Forum

2001 - Vita dhidi ya Ugaidi duniani vyaanza rasmi.

Hii ilitokana na shambulio la September 11, ambapo Marekani ilianza kushambulia kambi za Al Qaeda huko kwenye milima ya Torabora.

Ni milimani.....wakampata gaidi moja dogo wa Al Qaeda ambaye alikuja kuwa msaada mkubwa kufanikisha kukamatwa kwa Osama kwenye operation EKIA(Enemy Killed In Action)

........
 
Pia ni mwanamichezo na mchezo wake anaoupenda sana ni JUDO
 
Kama JMK
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…