Makapuku Forum

Sio hapo....hapo ni km unatokea Ubungo unaelekea Mlimani City ndo lipo katikati ya. Chuo na Mlimani City

Jengo unalolisema nahisi ni lile linalojengwa kwenye kiwanja kidogo cha Moira sehemu kabla hujafika getini tena bado halijakamilika
........
Hilo ni maktaba na kabla hujafika getini ni wizara ya maji
 
Hivi ushawah ku-fall in love?
yan ile love Bae akikupgia simu ukiskia sauti
yake tu unataman uile simu na uimeze..
yan mnashinda nae mchana kutwa ikifka usiku
unakopa ili umpigie..
ile love akikubusu unajishikilia ukutan
usizimie...
ushawah kujifeel namna hiyo?
kama umeshawah kuhisi hivyo hio sio 'LOVE'
ni BANGI acha kutumia utakuwa kichaa pambavu sana wee.........

Huwa sipendi ujinga Mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee wa feki kaandika alipigwa risasi siku 1 baada ya kuapishwa

Sasa huo mkataba alisaini lini?
Naomba ufafanuzi hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Fix za 3rd class..[emoji57] [emoji57]
Kama hajui si afunge bakuli lake tuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…