Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
IMG_20161005_185423.jpeg

Mfano hii nilipiga kelele ikawa noma ndo jamaa akaandika jina langu km source
Bora nianzishe yangu
[emoji35] [emoji35] [emoji35]
...........
 
Kule wanapeana kick wakongwe nyuzi akianzisha mkongwe wanajua kupiga stori tena hazihusiani na mitindo ......akianzisha wasiyemjua ht km kaandika nondo hawachangii

Sitegemei kuanzisha tena thread kule
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Ww anzisha tu, alafu leta link hapa tutakuja kuchangia sisi sisi wenyewe..
 
Back
Top Bottom