Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
1987 - Nchi ya Fiji yawa Jamhuri.
Leo katika Historia Orijino:
1903 - Mahakama Kuu ya Australia yaanza kazi rasmi.
1981 - Rais wa Misri, Anwar Sadat anauwawa na kikundi cha Waislam wenye msimamo mkali.
Huku burudaaani kabixaaaa...Ni njema sana, vipi pande hizo?
1930 - Hafez El Assad anazaliwa.
Alikuwa Jenerali na Rais wa 20 wa Syria.
Ni baba wa Rais wa sasa wa Syria.
Alifariki mwaka 2000.
Ni kweli kabisa [emoji4][emoji4], niaje lakini mbaba?Ngoja azisake mmje kuzilamba pamoja my sissy
Ahsante kwa mazageti SemegiView attachment 413013View attachment 413014View attachment 413015
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti....
Naitwa Jimena Jimenes kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya wa kimataifa kukodishwa rasmi.
Byebye
Internet iko slow sana sasa hivi kwa hapa nilipo ni kati ya 2G na 3GBriz unapita kimya y!
1943 - Richard Carbon anazaliwa.
Ni waziri wa Michezo nchini Uingereza.
[emoji106] [emoji123] [emoji122]Leo ni siku 30 tangu kf kuvunja rekodi ya post ya DHAHABU yaani 100k
Moningi mukongoMoningi mtu yote
1972 - Mark Schwarzer anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa Middlesbrough, Fulham, Chelsea, Leicester na timu ya taifa ya Australia.