Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji2] wacha ungese, we modo embu nenda kwenye jukwaa la utanashati ukawadizainie masharobaro wenzako mtindo mpya
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kule wanapeana kick wakongwe nyuzi akianzisha mkongwe wanajua kupiga stori tena hazihusiani na mitindo ......akianzisha wasiyemjua ht km kaandika nondo hawachangii

Sitegemei kuanzisha tena thread kule
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
 
Back
Top Bottom