Makapuku Forum

Makapuku Forum

1475680984458.png
 
Kule wanapeana kick wakongwe nyuzi akianzisha mkongwe wanajua kupiga stori tena hazihusiani na mitindo ......akianzisha wasiyemjua ht km kaandika nondo hawachangii

Sitegemei kuanzisha tena thread kule

.......
Ndio na mimi ndio maana kuepusha complications zisizo za ulazima na kudhihakiwa, huko huwa sikanyagi kabisaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom