Makapuku Forum

Makapuku Forum

nimepita huko mwanzo wa uzi kuanzia page 1-100.kuna watu siwaoni humu,wamekimbilia wapi?@Bailly5 @Th Name n.k
Zungumzia na kufurahia waliopo sasa......Hii thread ni km daladala watu wanaingia na kutoka kwa utashi wao wenyewe

Hao usiwaona wapo humuhumu JF wanazururazurura na sisi tunaendelea na mambo yetu coz kila siku wanaingia wapya na hakuna anayewakumbuka waliosepa na thread inazidi kupeta tu
.......................
 
Zungumzia na kufurahia waliopo sasa......Hii thread ni km daladala watu wanaingia na kutoka kwa utashi wao wenyewe

Hao usiwaona wapo humuhumu JF wanazururazurura na sisi tunaendelea na mambo yetu coz kila siku wanaingia wapya na hakuna anayewakumbuka waliosepa na thread inazidi kupata
.......................
okay nimekuelewa mkuu
 
...unawaza nini ukiona PICHA kama hii??
powerful-photos-1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom