Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huku bongo ikishakudaka unarudishwa nyumbani ukajiuguze mpk kifo kitakapokuchukua.

Nmeshuhudia sana ndugu zangu wakifa na ugonjwa huu na hamna niliyemshuhudia kaugua huu ugonjwa na akasalimika.

Na kingine pia mgonjwa wa kisukari akishakatwa mguu hachukui muda mrefu lazma afe tu. HILI PIA NMELISHUHUDIA
a2392d2c311e170df2a56d49d8484102.jpg

Kiharusi noma sana ht home kilishaletaga janga niliuguza kinoma
Kinatesa hatari hasa mtu kupooza
............
 
Msongo wa mawazo hupelekea mambo kama haya kwa dada zetu
 

Attachments

  • 1475651305580.jpg
    1475651305580.jpg
    98.5 KB · Views: 30

Similar Discussions

Back
Top Bottom