Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kawaida STROKE mtu haponi bali huwezi kukituliza tu ni miongoni mwa magonjwa hatari humfanya mtu apooze na kibaya zaidi ikiathiri ubongo unapoteza kumbukumbu na kuwa chizi(akili zinapotea)

NI ugonjwa unaotesa sana duniani na chanzo cha vifo vingi

Kwahiyo kiukweli Song kupata janga baya na huu unaweza kuwa mwisho wake
Tumuombee
.................
Ni kweli, lakini kama imesababishwa na sukari kupanda anaweza kupata ahuweni mapema
 
b6f53dfe1fb0e7681b533f8c28d489a8.jpg

Hapa akiwa na picha ya Marc Vivien Foe.....mmoja kati ya viungo jembe kutokea duniani(RIP)
.....
 
Ni kweli, lakini kama imesababishwa na sukari kupanda anaweza kupata ahuweni mapema
Stroke huathiri "mfumo" siyo kiungo hivyo HUPONI
Kupata nafuu ni kawaida tena unaweza kuishi hata zaidi ya miaka 10 lakini siyo kupona tena kinashambulia ubongo ndiyo maana wazee wengi "hamnazo"
Stroke na kisukari ni km mapacha
Chanzo kikubwa cha stroke /kiharusi ni shinikizo la juu la damu japo pia mambo mengine yanachangia
.......
 
Stroke huathiri "mfumo" siyo kiungo hivyo HUPONI
Kupata nafuu ni kawaida tena unaweza kuishi hata zaidi ya miaka 10 lakini siyo kupona tena kinashambulia ubongo ndiyo maana wazee wengi "hamnazo"
Stroke na kisukari ni km mapacha
.......
Kitu pekee kinachoweza kukufanya ukawa sawa hata kama ulipata stroke ni Hypnotherapy
Tatizo bongo haya mambo ni mageni sana
 
Stroke huathiri "mfumo" siyo kiungo hivyo HUPONI
Kupata nafuu ni kawaida tena unaweza kuishi hata zaidi ya miaka 10 lakini siyo kupona tena kinashambulia ubongo ndiyo maana wazee wengi "hamnazo"
Stroke na kisukari ni km mapacha
Chanzo kikubwa cha stroke /kijarusi ni shinikizo la damu japo pia mambo mengine yanachangia
.......
Embu nifafanulie hapa;

Nini tofauti ya stroke, ku-paralyse au kiharusi?

Je hivyo vyote vina maana moja au Viko differ?
 
Labda huko majuu
Halafu iwe haijakuathiri sana
HumuBongo ni mwendo wa kaburini tu
..........
Bongo pia wameanza kufanya, ila tatizo wagonjwa wenyewe wanapelekwa wakishashindikana huko ambako wenyewe wanadhani ndio bora, hivyo inatumia muda mrefu.
Kwenye Hypnotherapy wanachofanya ni kuamsha zile gland ambazo zina shida na kulazimisha bio electric ifanye kazi ipasavyo mwilini, bio electric ikishamudu kurudi katika ubora wake na ndio hapo utaona mgonjwa anapona
Ni process ila 90% inafanikiwa.
Pia nadhani wengine wanashindwa sababu gharama zake ziko juu
 
Labda huko majuu
Halafu iwe haijakuathiri sana
HumuBongo ni mwendo wa kaburini tu
..........
Huku bongo ikishakudaka unarudishwa nyumbani ukajiuguze mpk kifo kitakapokuchukua.

Nmeshuhudia sana ndugu zangu wakifa na ugonjwa huu na hamna niliyemshuhudia kaugua huu ugonjwa na akasalimika.

Na kingine pia mgonjwa wa kisukari akishakatwa mguu hachukui muda mrefu lazma afe tu. HILI PIA NMELISHUHUDIA
 
Bongo pia wameanza kufanya, ila tatizo wagonjwa wenyewe wanapelekwa wakishashindikana huko ambako wenyewe wanadhani ndio bora, hivyo inatumia muda mrefu.
Kwenye Hypnotherapy wanachofanya ni kuamsha zile gland ambazo zina shida na kulazimisha bio electric ifanye kazi ipasavyo mwilini, bio electric ikishamudu kurudi katika ubora wake na ndio hapo utaona mgonjwa anapona
Ni process ila 90% inafanikiwa.
Pia nadhani wengine wanashindwa sababu gharama zake ziko juu
Hapo nimekuelewa
Ugonjwa una hatua zake
Umeongea point ni km saratani mtu yupo hatua ya mwisho ht ufanye nini ana kufa

Lakini km ni hatua ya mwanzo kupona unaweza ila suala la Song inaonekana kaathirika sana kwenye ubongo ndio maana akawa comma
...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom