Huku bongo ikishakudaka unarudishwa nyumbani ukajiuguze mpk kifo kitakapokuchukua.
Nmeshuhudia sana ndugu zangu wakifa na ugonjwa huu na hamna niliyemshuhudia kaugua huu ugonjwa na akasalimika.
Na kingine pia mgonjwa wa kisukari akishakatwa mguu hachukui muda mrefu lazma afe tu. HILI PIA NMELISHUHUDIA
UbarikiweView attachment 412348View attachment 412349View attachment 412350
Kwa hisani ya mke wa waziri na ATCL jina langu naitwa Jimena Jimenes
Ni matumaini yangu kuwa umeyafurahia yale magezeti niliyokukusanyia asubuhi yale
Tukutane tena kesho muda na wakati kama wa Leo
Byebye
Asante kwa magazeti JJView attachment 412348View attachment 412349View attachment 412350
Kwa hisani ya mke wa waziri na ATCL jina langu naitwa Jimena Jimenes
Ni matumaini yangu kuwa umeyafurahia yale magezeti niliyokukusanyia asubuhi yale
Tukutane tena kesho muda na wakati kama wa Leo
Byebye
Atakuwa wa chattle huyuMuwe mnauliza aise watani zangu kina................
Leo katika Historia:
1943 - Mateka wa kivita 98 toka Marekani wanyongwa na Jeshi la Japan huko katika kisiwa cha Wake Island.
1945 - Holywood Black Fiday yapamba moto huko marekani.
Ulikuwa ni mgomo wa miezi sita uliosababisha kutokea kwa maandamano yaliyomwaga damu ambapo yalianzia katika geti la kampuni ya filamu ya Warner Brothers.
1947 - Hotuba ya kwanza kutoka Ikulu ya Marekani yarushwa na televisheni. Ilimuhusisha Rais Harry S. Truman
1962 - Filamu ya Dr. No yazinduliwa.
Ni filamu ya kwanza katika mfululizo wa Filamu za James Bond.
Niambie mkuuMkuu
Morning