briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Mkuranga, lakini uzuri nlikua nafanya majaribio tu sikuweka hela nyingi sanaUmelimia wapi, pole
Mkuranga, lakini uzuri nlikua nafanya majaribio tu sikuweka hela nyingi sanaUmelimia wapi, pole
Si baada ya kuungana!!Haaa umevunjwa lini? sifahamu hiyo
Ni fresh bobPoa tu man!! Inakuwaje!?
Shwari sanaHaha niaje lakini bablai?
SanaHilo sio bepari la mchezo mchezo.. Liko nondo
Af weewe!!!Nyumbani ni nyumbani hata kama kuna waasi![]()

Inakuwaje broh!!umetisha sana bruh!
Mimi mwenyewe napenda utan...japo siku za mwanzo nilikuwaga na mapovu hatari yasiyo na tija...ila siku hizi nimegundua huu mchezo hauitaji hasira..Mbona inajulikana.....hapa kisichoruhusiwa ni kashfa/matusi tu au picha za masokwe/kutishana mfano mtu aliyeuawa au mafuvu pamoja na picha za uchi(kuonesha uke/uume). ...makalio siyo sehemu ya siri![]()
![]()
![]()
Mtu km hawezi utani hapa hapamfai....aende Polifix Forum
![]()
![]()
![]()
.............


Hilo ni tatizo lakeKisa ubize wa kazi...akawa hata hafuatilii
Unasema nini sio sehem za siriMbona inajulikana.....hapa kisichoruhusiwa ni kashfa/matusi tu au picha za masokwe/kutishana mfano mtu aliyeuawa au mafuvu pamoja na picha za uchi(kuonesha uke/uume). ...makalio siyo sehemu ya siri![]()
![]()
![]()
Mtu km hawezi utani hapa hapamfai....aende Polifix Forum
![]()
![]()
![]()
.............

Kweli kabisaUkitaka kufanya jambo ufanikiwe tz uende opposite na watz, tatzo watz wengi ni bendera kufata upepo, wakiskia tikit wote watalima tikit, wakiskia embe wote embe, mie nimenusurika, nilitaka kulima tikitk ila nikavunga kidogo.
Sasa kama wamehamia kwenye vtunguu utasikia mwakani hapa vilioo, vitunguu vitakiwa bei rahisi mpaka ugali utaungiwa vitunguu![]()
![]()

Humu ndani kuna wakulima wazuri sana hadi raha.Mkuranga, lakini uzuri nlikua nafanya majaribio tu sikuweka hela nyingi sana
Mkuranga sehem gani mkuu!?Mkuranga, lakini uzuri nlikua nafanya majaribio tu sikuweka hela nyingi sana
Okay!Si baada ya kuungana!!
Hajui hiloNyumbani ni nyumbani hata kama kuna waasi![]()
Kuna maji? Chanzo chake???Angalia sasa hivi mpunga ulivyomwingi, kisa kila mtu aliweka hifadhi ya mpunga wa kutosha, Sasa bei sasa ndio kasheshe
Utani wenu unaishia hapahapa tukikutana kwenye thread zingine hakuna mambo ya kuzinguanaMimi mwenyewe napenda utan...japo siku za mwanzo nilikuwaga na mapovu hatari yasiyo na tija...ila siku hizi nimegundua huu mchezo hauitaji hasira..![]()
Kwendraaaaaaa.....Nina bilioni 4 nitapata eneo la hutu tuela
![]()



, si ukanunue zile villa africana ama unataka kujenga shule?