Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Haaa umevunjwa lini? sifahamu hiyoSi ulivunjwa!.....au?
Haaa umevunjwa lini? sifahamu hiyoSi ulivunjwa!.....au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maskin wee.. Ila pambana mkuu si lazma mambo yafanane, muhusishe mungu unaweza okoka..
Yakigoma kutoka itabidi tukupoze kidogo halaf tufanye KF WATERMELON PARTY tuyale mpaka yaombe poo[emoji23] [emoji23]
Niko poa ankali, kuna kipindi nakuaga loose sana na kuna kipindi nashika kwa manati sana ubize unakua mwingi mnoMzuri sana, vp wewe? Kimya sana
Ukitaka kufanya jambo ufanikiwe tz uende opposite na watz, tatzo watz wengi ni bendera kufata upepo, wakiskia tikit wote watalima tikit, wakiskia embe wote embe, mie nimenusurika, nilitaka kulima tikitk ila nikavunga kidogo.Nilitaka kulima vitunguu kuanzia mwakani mwezi wa pili, bahati mbaya sasa hivi kila mtu anataka kulima vitunguu, sitaweza tena
Utakuwa unaishi kijamaa sana na wanakijiji...[emoji4] ni jambo zuri.Hapana, ila Wana kijiji ni Jamaa zangu
Haha niaje lakini bablai?Safi sana, karibu dokita[emoji124]
Hilo sio bepari la mchezo mchezo.. Liko nondoBepari uko nondo sana linapokuja swala la historia [emoji106]
achanga ubanguzi mamiiJenga kwenu goma kwanza...ndo ujemge na bongo [emoji2]
Poyeeee....ila subir kwanza kila mtu na kismat chake huwezi juwaNajiskia kulia aisee [emoji24] .. Mi tikiti langu ndo linatoa maua[emoji87][emoji87]
Kanunue kisiwa ibiza.[emoji106] .....Nina bilioni 4 nitapata eneo la hutu tuela [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umetisha sana bruh!Namuona sweetiepie
[emoji85] [emoji85] [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125]
Anasema nusu ya matikiti yote waliyovuna yameharibikaM ngapi imeteketea???[emoji134]
Mbona inajulikana.....hapa kisichoruhusiwa ni kashfa/matusi tu au picha za masokwe/kutishana mfano mtu aliyeuawa au mafuvu pamoja na picha za uchi(kuonesha uke/uume). ...makalio siyo sehemu ya siri[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sharia ya utani. IPITISHWE rasmi [emoji41]
Kisa ubize wa kazi...akawa hata hafuatiliiM ngapi imeteketea???[emoji134]
Nzuri Brizee karibuHabari zenu bandugu?!
Hapana fanya kama kufumba macho.. Utajiona wewe..Hiyo sura ya juu ni jini huyo....so mie jini au...[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyumbani ni nyumbani hata kama kuna waasi[emoji23][emoji23][emoji23]achanga ubanguzi mamii
Angalia sasa hivi mpunga ulivyomwingi, kisa kila mtu aliweka hifadhi ya mpunga wa kutosha, Sasa bei sasa ndio kashesheHuwa nachukia idea yangu...ifikiriwe na wengine pia mwishowe mnakuwa kibao!!!!!
We hujaona vizur!!She-male...heeee![emoji134]
Kama nyanya, baadae utasikia Tikiti hamnaUkitaka kufanya jambo ufanikiwe tz uende opposite na watz, tatzo watz wengi ni bendera kufata upepo, wakiskia tikit wote watalima tikit, wakiskia embe wote embe, mie nimenusurika, nilitaka kulima tikitk ila nikavunga kidogo.
Sasa kama wamehamia kwenye vtunguu utasikia mwakani hapa vilioo, vitunguu vitakiwa bei rahisi mpaka ugali utaungiwa vitunguu[emoji23] [emoji23]