makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,441
Kafanyaje huyo kwanza!!![emoji23] [emoji23]Muone kwanza[emoji23][emoji23]
Vip we umemuona!!?[emoji23] [emoji23] [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125]
Kafanyaje huyo kwanza!!![emoji23] [emoji23]Muone kwanza[emoji23][emoji23]
Mkuranga ni karibu, ungelimia ikwiriri huko ungelia aiseeMkuranga, lakini uzuri nlikua nafanya majaribio tu sikuweka hela nyingi sana
Yeah uzembeHilo ni tatizo lake
Tunashukuru kwa kulitambua hiloMimi mwenyewe napenda utan...japo siku za mwanzo nilikuwaga na mapovu hatari yasiyo na tija...ila siku hizi nimegundua huu mchezo hauitaji hasira..[emoji126][emoji138]
Waoh! Nshakaribia shem lake, am missing you tooBrizeeeeeeeeee.....welcome my shem. Sio kwa kukumiss huku [emoji17]
Mkongo mwaka huu lazma nikurudishe kwenu ukale masalambembe! kwanza hata Passport huna....![emoji23][emoji23] sijui uliingia bongo na maroli ya mipakani!? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Shwari sana
Nyumbani ni Palii[emoji6] [emoji4]Hajui hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwendraaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], si ukanunue zile villa africana ama unataka kujenga shule?
[emoji2][emoji2]Ukitaka kufanya jambo ufanikiwe tz uende opposite na watz, tatzo watz wengi ni bendera kufata upepo, wakiskia tikit wote watalima tikit, wakiskia embe wote embe, mie nimenusurika, nilitaka kulima tikitk ila nikavunga kidogo.
Sasa kama wamehamia kwenye vtunguu utasikia mwakani hapa vilioo, vitunguu vitakiwa bei rahisi mpaka ugali utaungiwa vitunguu[emoji23] [emoji23]
Aliingia kama mkimbiziMkongo mwaka huu lazma nikurudishe kwenu ukale masalambembe! kwanza hata Passport huna....![emoji23][emoji23] sijui uliingia bongo na maroli ya mipakani!? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Mon homeland iz Palii[emoji12]Sa si kongo brazavile kule si ndio pako hivyo....[emoji14][emoji14][emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijali man, ikitokea hivyo ntayagawa kwa makapuku tu mana hakuna namna tena hapoMaskin wee.. Ila pambana mkuu si lazma mambo yafanane, muhusishe mungu unaweza okoka..
Yakigoma kutoka itabidi tukupoze kidogo halaf tufanye KF WATERMELON PARTY tuyale mpaka yaombe poo[emoji23] [emoji23]
Kumbe unakaa HaitiBitoz huku Haiti Kuna kimbunga balaa, Leo hii
Huko [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kumbe unakaa Haiti
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Af weewe!!!.....ukiniona utakuwa kama mbwa kwa chatu[emoji6]Mkongo mwaka huu lazma nikurudishe kwenu ukale masalambembe! kwanza hata Passport huna....![emoji23][emoji23] sijui uliingia bongo na maroli ya mipakani!? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Speed km 200/hBitoz huku Haiti Kuna kimbunga balaa, Leo hii
Naona aisee jamaa ameiva haswaHilo sio bepari la mchezo mchezo.. Liko nondo
Nikajua ipo AmericaHuko [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Asante[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijali man, ikitokea hivyo ntayagawa kwa makapuku tu mana hakuna namna tena hapo