makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,893
- 104,126
Hata mie najua hvyo!! Au labda waliaacha baadhi ya maeneo kwa ukumbusho!!Si ulivunjwa!.....au?
Hata mie najua hvyo!! Au labda waliaacha baadhi ya maeneo kwa ukumbusho!!Si ulivunjwa!.....au?
Tutapitisha shaba hapo bandarini hivyo kuwapa mtonyo! naona bandari yenu imekauka bidhaa







Ndo maana huwa hukai sana home...Haaaahaaaa, hapana mimi ni mzuluraji tu

Haya mambo yanatokea bongo tuu.Kuna jamaa alilima yameharibika hadi huruma na aliinvest milions of money
Hizo mpaka uende TIC.....Nina bilioni 4 nitapata eneo la hutu tuela
![]()
Nikikonyeza kwa pempeni namuona beyonceangalia hii kama unafumba macho hivi,sema unaona nini cha tofauti
![]()
Kumbe ndio huwa unafanya surveyHaaaahaaaa, hapana mimi ni mzuluraji tu

Hhmm.. Ntakutafta mkuu, nifanye walau kukutembelea kwanza kabla ya yote.400,000 kwa heka
Brizeeeeeeeeee.....welcome my shem. Sio kwa kukumiss hukuAmeen, amiin, amina

Hiyo sura ya juu ni jini huyo....so mie jini au...Namuona sweetiepie
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



Maskin wee.. Ila pambana mkuu si lazma mambo yafanane, muhusishe mungu unaweza okoka..Najiskia kulia aisee.. Mi tikiti langu ndo linatoa maua
![]()

She-male...heeee!Namuona sweetiepie
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Akijenga usiku, asubuh kumelipuliwa na bomu..Jenga kwenu goma kwanza...ndo ujemge na bongo![]()

Fresh sana The book, umekivaa kiatu cha kikapuku size yako na kimetosha kabisa yani unawakilisha vema sana hili chamapoa vepe
Sasa hivi mzinza amebana sana, so safari zimepunguaNdo maana huwa hukai sana home...![]()
Huwa nachukia idea yangu...ifikiriwe na wengine pia mwishowe mnakuwa kibao!!!!!Nilitaka kulima vitunguu kuanzia mwakani mwezi wa pili, bahati mbaya sasa hivi kila mtu anataka kulima vitunguu, sitaweza tena
Aya, ivi yule mzee wenu wa kimasai aitwae Ole..... bado yupo?Hizo mpaka uende TIC
PoaHhmm.. Ntakutafta mkuu, nifanye walau kukutembelea kwanza kabla ya yote.
Maskin wee.. Ila pambana mkuu si lazma mambo yafanane, muhusishe mungu unaweza okoka..
Yakigoma kutoka itabidi tukupoze kidogo halaf tufanye KF WATERMELON PARTY tuyale mpaka yaombe poo![]()
![]()
