Makapuku Forum

Nilitaka kulima vitunguu kuanzia mwakani mwezi wa pili, bahati mbaya sasa hivi kila mtu anataka kulima vitunguu, sitaweza tena
Ukitaka kufanya jambo ufanikiwe tz uende opposite na watz, tatzo watz wengi ni bendera kufata upepo, wakiskia tikit wote watalima tikit, wakiskia embe wote embe, mie nimenusurika, nilitaka kulima tikitk ila nikavunga kidogo.
Sasa kama wamehamia kwenye vtunguu utasikia mwakani hapa vilioo, vitunguu vitakiwa bei rahisi mpaka ugali utaungiwa vitunguu
 
Sharia ya utani. IPITISHWE rasmi
Mbona inajulikana.....hapa kisichoruhusiwa ni kashfa/matusi tu au picha za masokwe/kutishana mfano mtu aliyeuawa au mafuvu pamoja na picha za uchi(kuonesha uke/uume). ...makalio siyo sehemu ya siri


Mtu km hawezi utani hapa hapamfai....aende Polifix Forum

.............
 
Kama nyanya, baadae utasikia Tikiti hamna
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…