Lima matikiti nduguYaah! Huko viwanja wanauza bei rahisi sana..
Mama yangu alinunua heka 5 hapo 2011 na ametugawanyishia wanawe wote.
Mashamba yapo tu hayana kazi.
Nilikuwa nafikiri kuja kulima hapo ila sijajua ni kilimo gani kitalipa ktk mazingira hayo.
Ngoja mkuu nkufwate Pm ili unisaidie hilo jambo kidogo
Mlandizi ni pazuri sanaLipo mlandizi
VyoteUnataka kulima au ufugaji?
Hayana wateja, na mara nyingi mkulima huwa hana maamuzi na mazao yake,Lima matikiti ndugu
.......
Sikuwa serious
Niliongea kiutani
Mfano huwa tunataniana "bwege" n.k
Sorry km nilikukwaza
......................................
Km vipi tumshauri ufugaji wa vyuraHayana wateja, na mara nyingi mkulima huwa hana maamuzi na mazao yake,
Maajabu haya yanapatikana Tanzania tu
Mkulima wa ikwiriri analima matikitiki maji, biashara yake anaamua dalali wa k,kooKm vipi tumshauri ufugaji wa vyura
......
Naskia Tikiti imeliza watu sana miezi hii ya June na kuendeleaMkulima wa ikwiriri analima matikitiki maji, biashara yake anaamua dalali wa k,koo
Ni wakati wa serikali kumlinda mkulima
Azam anazalisha juisi kwenye viwanda vyake, wamwambie tu anunue matunda kwa wakulima na sheria zimbane haswa, utaona jinsi watu watakavyolima, lakini kwa kupitia dalali hata mimi siwezi kulima
Ndo maana wakulima maskini hadi wanatia huruma...mi bora nilime mazao ya chakula tuMkulima wa ikwiriri analima matikitiki maji, biashara yake anaamua dalali wa k,koo
Ni wakati wa serikali kumlinda mkulima
Azam anazalisha juisi kwenye viwanda vyake, wamwambie tu anunue matunda kwa wakulima na sheria zimbane haswa, utaona jinsi watu watakavyolima, lakini kwa kupitia dalali hata mimi siwezi kulima
Ndio hivyoNdo maana wakulima maskini hadi wanatia huruma...mi bora nilime mazao ya chakula tu
Wafanyabiashara/walanguzi/middlemen ndo wanafaidi jasho la mkulima
.........
Jamaa yangu analia sana,anakuja mtu shambani anatoa pesa ambayo ni robo ya matumizi yako ya Kilimo, Ile kuvuna kuleta k,koo kilio kikawa kikubwaNaskia Tikiti imeliza watu sana miezi hii ya June na kuendelea
But this is not a girl (cf.moustache). Picha na ujumbe haviendani na nitakuwa na wasiwasi sana na urijali wa mwanaume anayelala namna hii
Ngoja nifanye utafiti kwanzaLima matikiti ndugu
.......
wanataka walazimishe watu wapande boti,watapewa jamhuri dodoma
Yalimalizika salama salmini. Ahsanteni sana kwa kunifariji.Asante sana mwenyekiti kwa historia
Hope mazishi yalimalizika salama siku ya Jana.
Peace and love