Unafaa kuwa shaolin soccerNimepita karibu na mapapai, nimeangukiwa na moja kichwani ila halikupasuka japo limeiva sana ina maana gani hii wakuu

Huyu hakutembelea njia za Alexander bell kweli huyu3.Prof.David E. Hughes;aligundua 'microphone' 1878
![]()
Masiku hana zake anakusalimia tu!Wapendwa za masiku?
Naona kaanza kuwa km QuigleyAfadhali umeliona hilo
4.Galileo Galilei;mwanafikia,mwanahisabati,mwanaanga n.k,aligundua 'thermometer na telescope'
![]()
Anza kujiombea, mie iwe rahisi kukuombea..Ndo uniombee nisije nikabadilika..
Nilihofia isije kuwa ubongo umepata hitilafu ndan kwa ndani maana unaweza wakakuzuga ni papai kumbe tofaliUnafaa kuwa shaolin soccer
![]()
![]()
Hamna maana yoyote mkuu, vtu vya kawaida tuu
Moja kati ya watu ninaowakubali pemben ya newton Isaac4.Galileo Galilei;mwanafikia,mwanahisabati,mwanaanga n.k,aligundua 'thermometer na telescope'
![]()
trueMoja kati ya watu ninaowakubali pemben ya newton Isaac
Huyu galilei galileo namkubali kinomaView attachment 411903View attachment 411904
ThermometerView attachment 411905View attachment 411906
Telescope
...........
Manta khofu sheikhNilihofia isije kuwa ubongo umepata hitilafu ndan kwa ndani maana unaweza wakakuzuga ni papai kumbe tofali
kwaa mbaliiiiHuyu hakutembelea njia za Alexander bell kweli huyu
5.Orville and Wilbur Wright(Wright Brothers);Wanasayansi ndugu kutoka USA,Wagunduzi wa ndege "aeroplane" 1904-1905
![]()
![]()
EeeehManta khofu sheikh
Hasa km umesoma sayansiHuyu galilei galileo namkubali kinoma
Ankali sijui kimemsibu niniNaona kaanza kuwa km Quigley
Hawa ndio walifanya kazi kubwa sana ya ugunduzi, Sasa ni maboresho tuView attachment 411903View attachment 411904
ThermometerView attachment 411905View attachment 411906
Telescope
...........