Makapuku Forum

Nami nakupongeza, binafsi najivunia kf imeniunganisha na watu wazuri sana, sometimes tunataniana hapa watu wanafikiri waliopo humu ni vilerzer lkn humu watu ni vichwa na waonao mbali...hongera kwa kubuni uzi huu mimi umenifaa....wengine mahusiano yamezaa matunda chanya [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] bitoz
Pia tumfariji mwenzetu musso amekuw na mchango mkubwa sana hapa
 
[emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usishtuke dadake, ni kawaida tu,
Nabakia kuwa kaka na makaveli 10 atabakiwa kuw mwenye mali
Cc makavel 10
Lazma ashtuke.. Yee anajua kwenye familia wamezaliwa wawili tu, yeye na pacha wake ndio maana

Ila mimi sina tatzo na wewe, mdugu sio lazma mlale tumb moja..
 
Ndo ivo
Napendekeza anayejisikia kumpa mkono wa pole amtafute Mussolini PM (Hivyo hapa tusijadili sana)
Tumuache apumzike
................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…