Makapuku Forum

Game ya leo n kati ya derby hovyo sana kutokea kipindi cha kwanza Yanga kapiga mpira c utani ila cha pili katepeta simba wakaja juu!!! Kichuya mwenye namba yake anipe nimtumie mia3 kwa tigopesa;!! Yanga alipaswa amalize mchezo mapema pia mwamuzi mchezo umemzidi uzito kwa kiasi Fulan Mimi Yanga Damu ila Yanga waongeze kasi la sivyo huu ni mwaka wa SIMBA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…