Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Acha unazisimba wanafurahi sare,yanga tumemaind,nani kibonde?????
Sare ina impact kubwa kwao 7bu wamecheza pungufu imewaongezea kujiamini mechi zijazo itakuwa ngumu kupoteza
Pia gap limebaki pts 6 ingawaYanga ana mechi moja mkono ni
Kosa kubwa la Yanga ni kuzembea KUUA MECHI mapema
Tusipoangalia msimu huu ibingwa tutakosa
Chambua mpira siyo unazi tu
..................