Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Well said.Acha unazi
Safe ina impact kubwa kwao 7bu wamecheza pungufu imewaongezea kujiamini mechi zijazo itakuwa ngumu kupoteza
Pia gap limebaki pts 6 ingawaYanga ana mechi moja mkono ni
Kosa kubwa la Yanga ni kuzembea KUUA MECHI mapema
Tusipoangalia msimu huu ibingwa tutakosa
Chambua mpira siyo unazi tu
..................