Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Mkuu naomba unipe utabiri wa wao na sisi leo...mimi nimeoteshwa kwamba tunawapiga! Yanga raha sana!4G sio lazima hata 3G kama speed imesimama haina shida. Mi bongo 4G nawaelewa smile tu waliobakia wote chenga
AsanteeeeeeDAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Pole sanaTANESCO wamekata umeme
Simu haina chaji....wanafikiri wote tutaenda Taifa
..............
Mkuu naomba unipe utabiri wa wao na sisi leo...mimi nimeoteshwa kwamba tunawapiga! Yanga raha sana!
Siku za wiki matumizi huwa makubwa zaidi kuliko weekendWana-neutralize maana matumizi huwa makubwa mpaka wanazidiwa
Kikofia jimena anakuita hukuView attachment 410199
Iko hivi....
Salama tu za weekend?Habari za muda huu jamani
Leo naona bado hawajakataTanesco wanakata sana umeme, hasa weekend sijui kwa nini
Huku naona wametusamehe leoTANESCO wamekata umeme
Simu haina chaji....wanafikiri wote tutaenda Taifa
..............
Aliyekumbwa na kashfa ni Richard Nixon akajiuzulu.
Word....4G sio lazima hata 3G kama speed imesimama haina shida. Mi bongo 4G nawaelewa smile tu waliobakia wote chenga
Hapana. Mara nyingi ili ushinde ni lazma ujue jinsi ya kumaliza pambano. Na hii ndio sifa kuu ya Ali.Alibahatisha kumbe
Thanks piaAsante Musso kwa historia
Habari yako jiraniWanasema alikuwa anafadhiliwa na matajiri wa Italy waliokuwa wameshikilia soka la Italy
Hata huku leo wamekata.TANESCO wamekata umeme
Simu haina chaji....wanafikiri wote tutaenda Taifa
..............
Wengineo ni siasa.4G sio lazima hata 3G kama speed imesimama haina shida. Mi bongo 4G nawaelewa smile tu waliobakia wote chenga
Zamani nilikuwa najua ile dola 100 yule ni Abraham Lincoln...kumbe yeye yuko kwenye dola 501785 - Benjamin Franklin anajitokeza kugombea uongozi ndani ya jimbo la Pennsylvania.
Ni mmoja kati ya Waasisi wa Taifa la Marekani. Picha yake inatumika kwenye Dola za Marekani hasa dola 100.