Makapuku Forum

1962 - Frank Rijkaard anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Uholanzi aliyetamba akiwa na klabu ya Ac Milan na tinu ya taifa ya Uholanzi.

Baada ya kustaafu alikuja kuwa kocha wa Barcelona ambapo alitengeneza timu iliyokuja kutawala soka la Ulaya ikiwa ni pamoja na kushinda ubingwa wa ulaya mwaka 2006.
 
1977 - Roy Carroll anazaliwa.

Ni kipa wa zamani wa Man Utd na timu ya taifa ya Ireland.

Anakumbukwa Man Utd alipookoa mpira uliovuka mstari kuingia golini, yeye aliurudisha mpira huo na refa hakuona akawanyima Spurs goli la ushindi na mechi ikaisha 1-1. Old Trafford katika ubora wake hapo.
 

Fundi
.......
 
Jamaa alikuwa anajua mpira
 

Refa kipofu
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…