Makapuku Forum

1978 - Papa John Paulo wa Kwanza anafariki.

Ni papa aliyedumu kwa siku 33 tu.
Ni papa aliyetokea Nchini Italy.

Kabla ya kuchaguliwa kuwa Papa alikataa kabisa kudhika wadhifa huo, hivyo alilazimishwa.

Alijulikana kama " The smiling pope "

Kifo chake kinabaki kama moja ya vifo tata kuwahi kutokea Duniani.

Japo ripoti zinasema alikufa kwa ugonjwa wa moyo, lakini kuna wanaoamini Papa alinyamazishwa.
 

RIP
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…