Makapuku Forum

Hahahahaha kweli wewe hupendi ujinga
 
Kama conte anataka kubaki na chelsea basi kikosi hiki hapa
1 cotois
2 alonso
3 aspilicueta
4 kolibaly
5 bonuci
6 kante
7 fabrigas
8 batshuay
9 costa
10 wilian
11 hazard

Akitafute mpaka akipate dirisha la january

Sasa hivi anatakiwa kucheza na hawa

1 cotois
2 aspiliqueta
3 alonso
4 luizi
5 tery au zouma
6 kante
7 fabrigas
8 batshuay
9 costa
10 hazard
11 willian
Ni ushauri tu nisaidieni kumfikishia conte

Sina raha kisa chelsea
Mungu anawaona

Afadhali simba yangu huku inanifariji

Halafu gary cahill na branislav ivanovichi mungu anawaona tu

Mlichokifanya ni ujinga na mi sipendagi ujinga
 
Hahahahaha huyo anafanya biashara ya papuchi
 
 
Jumapili baada ya kutoka kanisani tukawa tunasalimiana na mchungaji,baada ya kuona simu yangu akauliza,umenunua sh. ngapi??
kwa kuwa sitoagi sadaka nikasema nimenunua elfu 20 kumbe ni ya laki mbili!!
mchungaji akatoa elfu 40 kisha akasema..
  • kanunue simu kama hizo mbili,moja yangu nyingine ya mke wangu
[HASHTAG]#Mchungaji[/HASHTAG] hatakagi ujinga
The Book wa Makapuku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…