Makapuku Forum

Nilienda na bebi wangu Hotelini,nikamwambia agiza chakula..
  • aka beb nyumbani nimekula "kuku"
bhasi ikabidi nimuagizie whisky,baada ya kunywa kidogo akatapika makande,ikabidi nimuulize romanticaly...
  • Bebi ni kweli umekula "kuku" au umekula "chakula cha kuku"?
Sitkagi ujinga mimi
The Book wa Makapuku
 
Hahahahahahaha ha ha, HUYO MANZI NI MBWIGA
 
jana nimemtumia demu nauli aje gheto hakuja,leo ananiambia kuwa anakuja ila kasahau laini ya voda yenye hela niliyomtumia hivyo nimtumie tena kwa tigo-pesa,
kwa makusudi nikamtumia kwanye voda kulekule na kuongeza na meseji "vipi nikuongeze sh. ngapi??
mara ujumbe huooo "elfu 20 tu my"
Ikabidi nimsevu kwa jina la POGBA sipendagi ujinga mimi.
 
Ufafanuzi kuhusu simu aliyopokea refa tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…