Acha uhuniPoa tu, vipi pius msekwa wa kimakonde!?
Acha uhuniPoa tu, vipi pius msekwa wa kimakonde!?
Atasema unamtusi wakati ni kweliInawezekana.. Maana mjeda gani ana gubu la mama wa kambo, aliyeambukizwa ukimwi na mdingi..
cc, sacajoSio tusi.. Cheo hicho
Ulikuwa wapiTycoon makaveli Jr.
ndani ya mjii.. Nimerudi mkongwe
Dedication kwako.Umefanyaje!!?

Yani so far sl good..what you are doing to me is great and i am humbled to be loved by you.Like the way i do to wewe..
Hahahaha poa poaSawa kabisa ila usimwambie mtu mkuu
The Temptations - Treat Her Like A Lady:
Kwakweli mfanye hivyo jamani...mututreat like real ladies...hii track ni tamu sana.
Haha kuna bwana google wengi tu anatusaidiaSweetiepie sio tusiokuwa na undugu na ung'eng'e unatusaidiaje?
Hahaa... Tena ntambutua kisawa sawa.. Utafikiri ndio ananipa for the 1st time arif.. Ubutuaji wa kimataifa, ubutuaji wa mizinga sio kombolela..




Yule hajui lugha ya taifa vizuriHaha kuna bwana google wengi tu anatusaidia
Hahaa.. Sawa kaka mkubwa.Acha uhuni
Huyu si kilaza mwingineAtasema unamtusi wakati ni kweli
Tabora tu hapo..Ulikuwa wapi
Kwani unataka kiswahili sanifu kama cha oni sigala?Yule hajui lugha ya taifa vizuri


Thnx mpenz.. Imefika hyo, naiskilza kwa hisia hapa..Dedication kwako.![]()

Hahaa... Im humbled u knw...Yani so far sl good..what you are doing to me is great and i am humbled to be loved by you.
Hata kama sio sanifu cha gugo hapana.hakieleweki aiseeKwani unataka kiswahili sanifu kama cha oni sigala?![]()
Hahahahaha, ana nyota sita?Huyu si ****** mwingine
Kwahiyo mpaka sasa uko BONGO? Umekumbuka kutuletea matobolwa na nsansa?Tabora tu hapo..