briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Haha sio kwamba hakieleweki kile ndo kiswahili sanifu sema wengi wetu hatutumii kiswahili sanifu... Kile kiswahili ndo kipo kwenye tukiHata kama sio sanifu cha gugo hapana.hakieleweki aisee
Haha sio kwamba hakieleweki kile ndo kiswahili sanifu sema wengi wetu hatutumii kiswahili sanifu... Kile kiswahili ndo kipo kwenye tukiHata kama sio sanifu cha gugo hapana.hakieleweki aisee
Mimi sikielewagi kwakweli..... Kama cha kwenye gugo translate ndio cha hovyooo kabisaaaHaha sio kwamba hakieleweki kile ndo kiswahili sanifu sema wengi wetu hatutumii kiswahili sanifu... Kile kiswahili ndo kipo kwenye tuki

Huku kwetu upooHakuna mwanzo unaoanzia mwisho.. Boya wee
Tulia weweVunga we chogi
Wanataka wao watendewe wema tuuYah!! Hilo nalo pointi..
Ndioo huo sasaUkweli unaujua wewe!!?
Tulia weweInawezekana.. Maana mjeda gani ana gubu la mama wa kambo, aliyeambukizwa ukimwi na mdingi..
NdiooKuwa mwalimu wa kwaya ni tusi?
Me ni mjeda kamandaaMjeda mnywanywa..
UsihofuUthibitisho wako uje ndan ya masaa 24
Konyagi itakuwa vizuriIpi sasa itamfaa
Mimi sijui hiloo
Alikuwa porini kuwinda fisiUlikuwa wapi
Hakiwez kueleweka wakati google yenyewe tu haina taifsir, imeandikwa kiingilishi..Hata kama sio sanifu cha gugo hapana.hakieleweki aisee

Nmebeba kontena zima.. Wewe tu na uwezo wako wa kuja kuchukua maskani.Kwahiyo mpaka sasa uko BONGO? Umekumbuka kutuletea matobolwa na nsansa?
Kwenu si maboya tuuHuku kwetu upoo
Huwez kuntuliza we mzembe.. Utantulizaje..Tulia wewe