makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,571
Bila kujali upande wa pili!!! Its nt fair.Wanataka wao watendewe wema tuu
Bila kujali upande wa pili!!! Its nt fair.Wanataka wao watendewe wema tuu
Huoo unini!!? Umeme au..Ndioo huo sasa
UmejuajeKwenu si maboya tuu
Me nakutuliza kama kitenesiHuwez kuntuliza we mzembe.. Utantulizaje..
Kweli kabisa.....hapa ni jino kwa jinoBila kujali upande wa pili!!! Its nt fair.
Haya mjeda..Me ni mjeda kamandaa
Hakuna cha off wala on hapaUsihofu



Si sawa na kuku kumtia kwenye mafuta ya alizeti..Konyagi itakuwa vizuri

Kuna nini sasa???Hakuna cha off wala on hapa
Vip weww mbona unatukunjia sura kama unatongozwa na kidume mwenzio.. Kunjua sura hyo..

Wembamba wa chuma huu mdogo wangu, we jiongopee na minyama yako hyo hata konokono anayo halaf nikutoe kamas za ulimi.. Mie siogop mjeda wala nani.. Nakupiga wewe mpaka gwanda zako..![]()
![]()
naona unataka kuvunjwa hizo fito zakoo
Kitenes chenye velocity ya 1000000km/sec kinatoboa kifua chako hicho cha kubebea vyuma chakavu..Me nakutuliza kama kitenesi
Wakimwaga mboga.. Sisi tunakula ugali mkavu.. Ubandidu juu ya ubandinduu..Kweli kabisa.....hapa ni jino kwa jino
UmbiliUmoja![]()
![]()
![]()
Field kwenye ubora wakeJamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT.
Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE.
Girlfriend akamuuliza jamaa “beby vipi mbona uko hapa?”
Jamaa bila woga akajibu
“NIPO FIELD.
Wanaume hatupendi ujinga sisi![]()