sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Me sio mnywanywa......ni mjedaaWe mnywanywa sana...
Me sio mnywanywa......ni mjedaaWe mnywanywa sana...
Nawe piaaNimedabo na segment ya jana, mlikuwa nami Sweetie pie....a.k.a instincts lady, tukutane tena week ijayo asanteni na jumapili njema yenye upendo na furaha. Enjoy guys![]()
Hapo sawa.......ila prison break ndio itakuwa wameibaa kabisaKwa historia ya kaka mkubwa mussolin + picha za bitoz zinafanana kwa mbali na lile movie, inawezekana hawajaekt tukio ila wameiba kaaidea.
Poa....ngoja nitamchekiBitoz anacho cha did you know hebu wasiliana nae. Vinaweza kuwa na swaga tofauti kama mimi na Cobblepots tunafanya muziki ila yeye kaja na top kali za Kapuku.
Ntampeleka jela mimiBitoz mkomba mboga huyoo
Nitathibitisha baadaeHaya... Thibitisha
SidhambiKwani kufananisha dhambi!!
Tatizo yeye ni bitoz uchwaraa![]()
![]()
![]()
Nishawahi kushuhudia bitoz alivyodakwa..
Chibuku low qualityMpe msaada wa chibuku, still gongo inamuumiza.
Ngoja aje kujiteteaUkweli ndio huo, wew na yule andunje wa kongo mna nongwa.
Hii namba 111111 imekaa vyema japo sijaifishiriki, habari za jioni wapendwaBitoz ukuje hukuu
MwishooNaanzia mwanzo, kwani watu huwa wanaanzia wapi!!?
SawaAnd vise versa ila nimeuongelea huo wimbo kwanza maana wanaume wenyewe ndio wameliona hilo.
The Temptations - Treat Her Like A Lady:
Kwakweli mfanye hivyo jamani...mututreat like real ladies...hii track ni tamu sana.
PEABO BRYSON / CAN YOU STOP THE RAIN - Directed b…:
Daaaah....huu wimbo huu