makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Ukweli ndio huo, wew na yule andunje wa kongo mna nongwa.Hapana mnatusema vibaya tuu
Ukweli ndio huo, wew na yule andunje wa kongo mna nongwa.Hapana mnatusema vibaya tuu
Bahatisha na wewe, kama unaona bahati[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa ila umebahatishaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mie ulevi wangu sio huo bhana..We na mkwepa kodi tofaut yenu ni maeneo ya kwenda kupombekaa
Tulia we afande uchwaraAcha urohoo[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Naanzia mwanzo, kwani watu huwa wanaanzia wapi!!?[emoji61] [emoji61] utaanzia wapii??
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57][emoji15] [emoji15] basi me ndio wakwanza
Juu yako.. Kusuka au kunyoa..Hatunywii.......
We mtoto nae una nongwa sijui mjeda gani ananongwa kama wewe.. Au we huko jeshini upo kitengo cha kuimba taarabu ninAmeitafuta kinyamaa
Kwani yee ni koo(kuku jike) mpaka atete!!?Acha kutetea
Shukrani kwa info hizi..
Huyu dogo ni kanjanja tuuAfadhali umesaidia kwa hilo
Ana ubavu huoo.. Soma hapo ubao wa Guinness unasemaje..Uliikosa, bitoz ndio kabutua
Tupooo... Twasaburi kwa hamuMpooooo?? old is ever Gold itawajia hivi punde......
Hahaha, ishaisha zamaaaniiiiTupooo... Twasaburi kwa hamu
Ni mwalimu wa kwaya ya wadada wa jeshiniWe mtoto nae una nongwa sijui mjeda gani ananongwa kama wewe.. Au we huko jeshini upo kitengo cha kuimba taarabu nin
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndioo......kwan hujui[emoji15] [emoji15]Kwani yee ni koo(kuku jike) mpaka atete!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] me naongea ukweliWe mtoto nae una nongwa sijui mjeda gani ananongwa kama wewe.. Au we huko jeshini upo kitengo cha kuimba taarabu nin
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
AyaaJuu yako.. Kusuka au kunyoa..
The Temptations - Treat Her Like A Lady:
Kwakweli mfanye hivyo jamani...mututreat like real ladies...hii track ni tamu sana.
And vise versa ila nimeuongelea huo wimbo kwanza maana wanaume wenyewe ndio wameliona hilo.Na nyie je???