Me labda nimpe ushauri awe anakunywa gongo....,,na sio komoniJarbu kumsaidia tutampoteza bure yule mtu
Bitoz mpika njegere kwa mama ntilie wa kisutu sokoni..
Hapana mnatusema vibaya tuuWale si washankupe..
Unaona mimi ndezi nikae nawinda.. Vtu vinakuja automatikali.. Watu na bahati zetu bhana
We na mkwepa kodi tofaut yenu ni maeneo ya kwenda kupombekaaNtake radhi bhana, mie sio chapombe.
Muache atambe tuuAlikuepo pekeake nadhani, ilikua ni kama kumsukuma mlevi vile
Nipo Sacajo. Niliadimika kwa muda tuJJ upooo????
Leo natangaza ni Siku ya mapumziko
HARUHUSIWI MTU KUCHAT
Tuonane kesho kwenye mgahawa wa Afande Sajo atatuandalia pilau la nyama ya kenge na kachumbari ya mapapai
Mroho Makaveli usisahau kubeba ndizi na parachichi mfukoni
Jimena uje na kimini chako uchwara
Dikteta hatutaki stori za historia msosini
Briz hatutaki mambo ya kuimbishaimbisha
Shululu usije na Lulu atabebwa na wakware
Kwigli utaongoza sala ya chakula
Bitterpie usije kishoboshobo tutakupa vyombo uodhe
Licongo ukija na pamba za kuazima huli
Mkwepakodi jukumu lako kununua vinywaji....hatutumii gongo na viroba sisi utakunywa mwenyewe
Kikofia piga puli tu ...huna ubavu wa kuimbisha
..................
Acha urohooNa wewe, uje ukiwa umefuta mikamasi yako.. Usije kitutapisha bure
Msaidie aache pombeHahah
Padri mjeshi...
Hakuna na hata kuja atokee..
Hatunywii.......Hurreyy.. Haters kunyweni sumu... 111111 nimeiokota..
Ameitafuta kinyamaaDah kweli leo nyota yako inang'aa man, hii post ya 111111 niliivizia kimyakimya lakini wap... Leo kweli ni siku yako ya ubutuaji. Nakuombea tu ubutuaji mwema kwa shem wangu ukifika
Acha kuteteaWakati wewe una ulevi wako mwingine...
Naanzaje labda kwa mfano...mwenyewe aninjoy hatariMsaidie aache pombe
Karibu.,...tulimisi magazet yakoo......pamoja na uwepo wakooNipo Sacajo. Niliadimika kwa muda tu
Basi wewe sio mtu mzuri kwakeeNaanzaje labda kwa mfano...mwenyewe aninjoy hatari