sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Me labda nimpe ushauri awe anakunywa gongo....,,na sio komoniJarbu kumsaidia tutampoteza bure yule mtu
Me labda nimpe ushauri awe anakunywa gongo....,,na sio komoniJarbu kumsaidia tutampoteza bure yule mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona sasa hivi anazichambuaBitoz mpika njegere kwa mama ntilie wa kisutu sokoni..[emoji23] [emoji23]
Hapana mnatusema vibaya tuuWale si washankupe..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa ila umebahatishaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Unaona mimi ndezi nikae nawinda.. Vtu vinakuja automatikali.. Watu na bahati zetu bhana
We na mkwepa kodi tofaut yenu ni maeneo ya kwenda kupombekaaNtake radhi bhana, mie sio chapombe.
Muache atambe tuu[emoji23] [emoji23]Alikuepo pekeake nadhani, ilikua ni kama kumsukuma mlevi vile [emoji38][emoji38][emoji38]
Nipo Sacajo. Niliadimika kwa muda tuJJ upooo????
[emoji35] [emoji35] [emoji35] umenidharirisha......omba msamahaLeo natangaza ni Siku ya mapumziko
HARUHUSIWI MTU KUCHAT
Tuonane kesho kwenye mgahawa wa Afande Sajo atatuandalia pilau la nyama ya kenge na kachumbari ya mapapai
Mroho Makaveli usisahau kubeba ndizi na parachichi mfukoni
Jimena uje na kimini chako uchwara
Dikteta hatutaki stori za historia msosini
Briz hatutaki mambo ya kuimbishaimbisha
Shululu usije na Lulu atabebwa na wakware
Kwigli utaongoza sala ya chakula
Bitterpie usije kishoboshobo tutakupa vyombo uodhe
Licongo ukija na pamba za kuazima huli
Mkwepakodi jukumu lako kununua vinywaji....hatutumii gongo na viroba sisi utakunywa mwenyewe
Kikofia piga puli tu ...huna ubavu wa kuimbisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
..................
Acha urohoo[emoji12] [emoji12] [emoji12]Na wewe, uje ukiwa umefuta mikamasi yako.. Usije kitutapisha bure
Msaidie aache pombeHahah[emoji23][emoji23]
[emoji61] [emoji61] utaanzia wapii??We shika adabu yako.. Utakula adhabu sasa hv..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] basi me ndio wakwanzaPadri mjeshi...[emoji23] [emoji23]
Hakuna na hata kuja atokee..
Hatunywii.......Hurreyy.. Haters kunyweni sumu... 111111 nimeiokota..
Ameitafuta kinyamaaDah kweli leo nyota yako inang'aa man, hii post ya 111111 niliivizia kimyakimya lakini wap [emoji15][emoji15][emoji15]... Leo kweli ni siku yako ya ubutuaji. Nakuombea tu ubutuaji mwema kwa shem wangu ukifika [emoji4][emoji4]
Acha kuteteaWakati wewe una ulevi wako mwingine...[emoji85]
Naanzaje labda kwa mfano...mwenyewe aninjoy hatariMsaidie aache pombe
Karibu.,...tulimisi magazet yakoo......pamoja na uwepo wakoo[emoji4] [emoji4] [emoji4]Nipo Sacajo. Niliadimika kwa muda tu
Basi wewe sio mtu mzuri kwakeeNaanzaje labda kwa mfano...mwenyewe aninjoy hatari