shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ngoja tumtafute Kidata aiseeHuyu jamaa inabidi abandikiwe EFD mwilini awalipe tra haki zao mana 24/7 kwenye mitungi afu kodi halipi![]()
Ngoja tumtafute Kidata aiseeHuyu jamaa inabidi abandikiwe EFD mwilini awalipe tra haki zao mana 24/7 kwenye mitungi afu kodi halipi![]()
Sasa hivi atakuwa amelalaMorning, unatumia kilevi gani mkuu?
Nimeamka salama kabisa Ankali, vp weweAnkali umeamkaje?
Poa mkuuMambo briz
HahahaNgoja tumtafute Kidata aisee
Asante ankali.. Ozil atasubiri sanaAsante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJ,
Kwa udhamini wa Oziliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nimekuja sasa washindwe wao tuMe too dia, ukuje basi raia wamekumiss sana
Yule mtu ni shidaAsante ankali.. Ozil atasubiri sana
Kigli anavyo anavyovilaWaoh! Kumbe makaveli10 anajilia vinono afu Quigley anakula kwa macho tu hapa![]()

Mapenzi.Umeme ni janga lingine aisee, hivi tz tuko vizuri zaidi kwenye sekta gani?
Woyooooooooooooo!!!!!Asante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJ,
Kwa udhamini wa Oziliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Morning....Morning all kapuku
Asante JJ naona Pogba kafanya yake jana....Kwa hisani ya Pogba sina la zaidi kutoka katika meza ya magazeti ..... Niite Jimena Jimenes
Kwa heri rafiki
Huo udhamini utawatoaje povu sasa leo
MornieMorning famile kikuta
Morning Mkuu Kagame...Rwanda kwema huko?Meli zitaingiaje bwawani?
Nilimwomba kikwete alipe bandari niilishe tz akakataa bhana
Haaaahaaaa, aione bitozMapenzi.