briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Waoh! Kumbe makaveli10 anajilia vinono afu Quigley anakula kwa macho tu hapaNipo Tabora kwa Makaveli10....![]()

Waoh! Kumbe makaveli10 anajilia vinono afu Quigley anakula kwa macho tu hapaNipo Tabora kwa Makaveli10....![]()

Si walitangaza leo hakuna umeme sehem kibao?Kwani haupo karibu na nishati ya umeme shem lake?
Dah we acha tu, ni sawa na umemiliki benzi afu baada ya muda mfupi unarudi kwenye carinaNchi hii ukiwaza waweza pata presure kubwa, Nyerere aliacha ndege kubwa na nyingi
InatishaDah we acha tu, ni sawa na umemiliki benzi afu baada ya muda mfupi unarudi kwenye carina

Kumbe! Ni mpaka mikoani ama dar tu?Si walitangaza leo hakuna umeme sehem kibao?
HahahahahaHaaaa unafyatuana vipi na mama yako mdogo....we mtoto huna adabu hata...punguza kitwanga aisee
Nzuri, karibu brizHodii humu ndani.. Habari ya wikend?
Sisi wabongo hatuna dogoMapanga boi yamekuwa habari ya mjini
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kafanya kweliNIYOMBARE naona umemuwakilisha vyema Jimena![]()
Weka pichaKarudi na ameopoa na mchina kabisa
Leo umeme ni majangaNiaje my cunado? JJ yupo bize kidogo atakuja tu usijali afu na umeme nao uazingua sana leo
Fanya hivyoNgoja nisevu ya old is gold niingie mitamboni naona chaji imebaki 37% tu.
Ndio maanaNipo Tabora kwa Makaveli10....![]()
Ngoja niende zangu polifix nikaangalie vitukoSisi wabongo hatuna dogo

Aibu sana, bora kunyamaza tuDah we acha tu, ni sawa na umemiliki benzi afu baada ya muda mfupi unarudi kwenye carina