Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Hehehe..... Acha kuwavurugia amaniSoma taratibu tu utaelewa
Hehehe..... Acha kuwavurugia amaniSoma taratibu tu utaelewa
PoapoaAsante mkuu
Naona unakesha ukibuni njia mpya za kukwepa kodiMoningi Makapuku, aisee kweli nyie ni walalahoi, yaani wote.mmechoka na kulala fofofo mwee
Karibu na safari njemaNjian kurejea home.. Dua zenu tuu...
HahahahahaNaona unakesha ukibuni njia mpya za kukwepa kodi
Tunakuombea safari njemaNjian kurejea home.. Dua zenu tuu...
Kwa lugha rahisi nilimaanisha, siku nyingi sijaingia makapuku, jana usiku naingia nikakuta mambo ya Man. united na Liverpool nikaona nisepe. Bado tuu?Hapa sijaelewa kabisa mkuu, naomba urudie
Hapo nimekuelewa mkuu, za asubuhiKwa lugha rahisi nilimaanisha, siku nyingi sijaingia makapuku, jana usiku naingia nikakuta mambo ya Man. united na Liverpool nikaona nisepe. Bado tuu?
Nzuri tu huku kwangu mvua kibao na joto kwenda mbele. Na wewe je?Hapo nimekuelewa mkuu, za asubuhi